Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
tapatalk_1569627102261.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unajua hata kulima wewe?? Hata kama unajua basi nina uhakika haunifikii mimi!! Watu naona mnapost picha mna vidole vilaini wengine picha zetu tunaogopa hata kuonesha vidole maana vina sugu za fimbo na majembe
Karma wa kishua.
Mimi maisha yangu ya huku bush kushinda shamba kung'oa mpunga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unajua hata kulima wewe?? Hata kama unajua basi nina uhakika haunifikii mimi!! Watu naona mnapost picha mna vidole vilaini wengine picha zetu tunaogopa hata kuonesha vidole maana vina sugu za fimbo na majembe
Hivi umeona popote humu picha zangu za vidole au miguu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niishie hapa [emoji23]
 
Back
Top Bottom