Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Japo ni ukweli ila haya sio mambo mazuri kujisifia mwanaume....Nilipata shida sana kipindi naishi Zanzibar
Wewe hauoni huo mdomo na macho. Kama kadada[emoji13][emoji13][emoji13]umenizidi hata mimi uzuri.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
Inaonekana sauti yako ni ndogo na unaongea kama unatia huruma[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Yaani hawa wanaume wa siku hizi sijui wanatutakia nini kuzaliwa wazuri kuliko sisi dada zao kuna mmoja juzi juzi hapa alituma picha yake mtoto wa kiume ana miguu mizuri kuliko hata mie mtoto wa kike jamani looh

Back
Top Bottom