Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama malezi, machozi yanatoka hapa, andiko hili limenigusa sana. Nawazaga sana nisingejaliwa baba km huyu ningekuaje mie?
Au ingekuaje? Kuna mambo sometimes baba unaona kabisa hakustahili kulibeba kulingana na mazoea au taratibu, ila yeye analibeba na kulichukua,

. JAH ahsante kwa kunipa baba huyuu, niendelee kufaidi matunda yake ya uhai.
 
Ooh ndiyo juzi kazi watu wakawa wanasema Dainamoo amemuita N mke wa sheikh. Makubwaaaaaaa
ubuyuuu si kaumwaga juzi chimbo, sasa A anasemaje hawa watu mnawachekea, dawa yao ukiwa name na akitaka kukuacha unampa tukio kubwa, hivi mnakubali vipi kuachwa kirahisi?

mbavu cnaaaa, nkawa najisemeaaa watu watachezewa watakuja kustuka too late, hawana chochote na magonjwa juu,. Waanze kuwapa tabu ndugu zao.

Maana hawaaambiliki yaan lol.
 
Usilie basi, si unatujua wanyaki: sikawii kuanzisha msiba hapa. Mwaya endelea kumshukuru baba yako na kumfurahia, na kuwa mtoto yule ambaye anamuheshimisha. Wanafanya mengi sana kwa ajili yetu na kesho zetu, and expect nothing in return; apart from kutushuhudia tunavyokua na kusimama wenyewe kwa miguu yetu. Kuwa na mtu wa kumuita "baba" ni neema na baraka kubwa sana...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…