Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 18, 2022 #221,321 Tinsley said: Pamoja katika kundi acha tupende tu Click to expand... Unapenda ndiyoo lkn na yeye pia akupende. Sasa waweza ng'ang'ania sehemu ambayo hupendwi mama?
Tinsley said: Pamoja katika kundi acha tupende tu Click to expand... Unapenda ndiyoo lkn na yeye pia akupende. Sasa waweza ng'ang'ania sehemu ambayo hupendwi mama?
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 18, 2022 #221,322 Glenn said: Hahaha khoo nini? Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jun 18, 2022 #221,323 Glenn said: Kwangu utanuna na utasahau utacheka tena🤣🤣 Click to expand... 😂😂😂😂😂 Nimecheka ujue..ila saa hii sicheki nanuna haswaaa
Glenn said: Kwangu utanuna na utasahau utacheka tena🤣🤣 Click to expand... 😂😂😂😂😂 Nimecheka ujue..ila saa hii sicheki nanuna haswaaa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 18, 2022 #221,324 Kelsea said: Click to expand... Ndio kicheko gani hicho totoo🤣🤣🤣
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 18, 2022 #221,325 ERoni said: Nimepatia? Click to expand... Hapana brod darling
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 18, 2022 #221,326 Yna2 said: Cocaaaa..tobaaaaa roho yangu....Sasa mbona Dada ako patupu !!?? Click to expand... kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee,
Yna2 said: Cocaaaa..tobaaaaa roho yangu....Sasa mbona Dada ako patupu !!?? Click to expand... kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee,
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 18, 2022 #221,327 Yna2 said: 😂😂😂😂😂 Nimecheka ujue..ila saa hii sicheki nanuna haswaaa Click to expand... Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake akanuna? Utachekesha ujue🤣🤣🤣
Yna2 said: 😂😂😂😂😂 Nimecheka ujue..ila saa hii sicheki nanuna haswaaa Click to expand... Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake akanuna? Utachekesha ujue🤣🤣🤣
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 18, 2022 #221,328 Kelsea said: Click to expand... nasubiri anijibu tyuuh.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 18, 2022 #221,329 cocastic said: Wapopo wana laana hawa mbwaaaa, njaaa kibao, mfyuuuuuu zao. Click to expand... Hahahaha Wajinga kweli yaani sijui wana akili gani Yaani kule wananikera wasione mtu una account yako umefikisha vifollowers .
cocastic said: Wapopo wana laana hawa mbwaaaa, njaaa kibao, mfyuuuuuu zao. Click to expand... Hahahaha Wajinga kweli yaani sijui wana akili gani Yaani kule wananikera wasione mtu una account yako umefikisha vifollowers .
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 18, 2022 #221,330 Antonnia said: Wangoni !! cocastic Natuma maombi ya kufundishwa mautundu mie kuna mtu nataka kumvuruga avurugike mazimaaa Click to expand... Weee tenaaaa bureeeeeee, bila ada, kungwi na nyakanga mie mwenyeweeeh.
Antonnia said: Wangoni !! cocastic Natuma maombi ya kufundishwa mautundu mie kuna mtu nataka kumvuruga avurugike mazimaaa Click to expand... Weee tenaaaa bureeeeeee, bila ada, kungwi na nyakanga mie mwenyeweeeh.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,018 Reaction score 177,329 Jun 18, 2022 #221,331 Glenn said: Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake skanuna? Utachekesha ujue Click to expand... Unataka kusema kwamba???
Glenn said: Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake skanuna? Utachekesha ujue Click to expand... Unataka kusema kwamba???
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 18, 2022 #221,332 Saint Anne said: Mimi akinipenda mtu namlipa upendo huo huo, pengine na zaidi. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Yes, na ndivyo nilivyo Mimi. Akinionyesha upendo, if na Mimi nimemzimia,,, basi namuonyesha upendo mara dufu zaidi. Tena atafurahia. No cheating
Saint Anne said: Mimi akinipenda mtu namlipa upendo huo huo, pengine na zaidi. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Yes, na ndivyo nilivyo Mimi. Akinionyesha upendo, if na Mimi nimemzimia,,, basi namuonyesha upendo mara dufu zaidi. Tena atafurahia. No cheating
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 18, 2022 #221,333 Antonnia said: Unataka kusema kwamba??? Click to expand... Utawezaje kununa mtu ka wewe😂
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 18, 2022 #221,334 spidernyoka said: Kumaansha? Click to expand... Nijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi. Afu ndo ntatoa neno la kumaanisha.
spidernyoka said: Kumaansha? Click to expand... Nijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi. Afu ndo ntatoa neno la kumaanisha.
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 18, 2022 #221,335 Kelsea said: Kweli ni kufanya yote, sasa ntakaa na mtu eti heshima na sihisi lolote moyoni nakaaje nae sasa? Sema kiwango cha mapenzi ya mwanamke kisizidi kiwango cha mapenzi ya mwanaume wake kwake. Click to expand... Akikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendii
Kelsea said: Kweli ni kufanya yote, sasa ntakaa na mtu eti heshima na sihisi lolote moyoni nakaaje nae sasa? Sema kiwango cha mapenzi ya mwanamke kisizidi kiwango cha mapenzi ya mwanaume wake kwake. Click to expand... Akikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendii
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,018 Reaction score 177,329 Jun 18, 2022 #221,336 cocastic said: Weee tenaaaa bureeeeeee, bila ada, kungwi na nyakanga mie mwenyeweeeh. Click to expand... Yani najiandaa hapa kufeli kwangu mwikooo!!
cocastic said: Weee tenaaaa bureeeeeee, bila ada, kungwi na nyakanga mie mwenyeweeeh. Click to expand... Yani najiandaa hapa kufeli kwangu mwikooo!!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 18, 2022 #221,337 Kelsea said: Ila huu utapeli wa kizamani yaan kama bado kuna watu wanatapeliwa kwa namna hii niwape pole sana. Click to expand... Wapo aisee Stori hizi nilizisikia sehemu ... Matapeli wa tuma kwa namba hii hadi leo bado wanatapeli tu
Kelsea said: Ila huu utapeli wa kizamani yaan kama bado kuna watu wanatapeliwa kwa namna hii niwape pole sana. Click to expand... Wapo aisee Stori hizi nilizisikia sehemu ... Matapeli wa tuma kwa namba hii hadi leo bado wanatapeli tu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jun 18, 2022 #221,338 cocastic said: kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee, Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipeleke mdogo angu...dada ako nisije achwaa 😂😂
cocastic said: kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee, Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipeleke mdogo angu...dada ako nisije achwaa 😂😂
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 18, 2022 #221,339 cocastic said: Nijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi. Afu ndo ntatoa neno la kumaanisha. Click to expand... We si unanfaham au leo upo tofaut
cocastic said: Nijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi. Afu ndo ntatoa neno la kumaanisha. Click to expand... We si unanfaham au leo upo tofaut
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 18, 2022 #221,340 QueenDeby said: Akikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendii Click to expand... Tumeambiwa kupenda ni kihere here chetu eti tuwatii au mimi ndio sielewi
QueenDeby said: Akikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendii Click to expand... Tumeambiwa kupenda ni kihere here chetu eti tuwatii au mimi ndio sielewi