kuna shem wako m1 alikua ananambia "taratibu bas nawee utaniangusha hilo uno km feni mbovu iliyokosa break". Eti nitulie nisimwage uno weee
Nkamuambia sikwenda unyagoni kumshangaa nyakanga, nilikwenda darasani, kaa kwa kutulia wee nishikilie ukianguka shauri yako.
Ogopa matapeli hakna mngoni asiyejua kudondosha moja moja
Unooooooooh.