Sis ake upooo?
Umeona ndoa ya kingoni kwa GARA B? Wangoni hatuna show mbovu, bwana harusi anamwaga uno, linamwagika moja moja,
Watu weuweeeeeeeeeeh!!!! Ikapigwa ile nyimbo ya "wanda wanda" wee mbna niliacha cm pembeni nkafunga nguo kiunoni acha nilimwge na mie uno la uzazi.
Woyooooooooh