Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
Mama twenzetu auYeah ajira nyingi sana zina fursa
Ukipiga zako Veta kwa muda mfupi unakuwa mtaalamu kabisa
Mama twenzetu auYeah ajira nyingi sana zina fursa
Ukipiga zako Veta kwa muda mfupi unakuwa mtaalamu kabisa
Mchambuko [emoji7]
Uje unipikie siku za majiMimi najua za maji tu za kusukuma ndio kisanga. Ni uvivu wa kujifunza naamini kila kitu kinawezekana.
Asante dear
Nguvu huanzia tumboni...chapati muhimu
Siwez amini fanya hvyo basiWee amini hilo [emoji23]
Nifundishe kupika Wali nyama na njegere BasiHahaha bado najifunza
Twende hii pia ni elimu nzuriMama twenzetu au
Haya usiwaze.Uje unipikie siku za maji
Hahaha weee mie najua kupika vizuri sana mamdo!
My fav food [emoji4][emoji4] njegere inachanganywa na nyama pamoja au iweje?Nifundishe kupika Wali nyama na njegere Basi
Anakuchukulia poa huyuHahaha weee mie najua kupika vizuri sana mamdo!
Hiyo simple sanaNifundishe kupika Wali nyama na njegere Basi
Sijajua Kuna siku nilikuwa kwa mtu njegere zimechanganywa na wali nilishangaaMy fav food [emoji4][emoji4] njegere inachanganywa na nyama pamoja au iweje?
Njegere nzuri sanaMy fav food [emoji4][emoji4] njegere inachanganywa na nyama pamoja au iweje?
[emoji379][emoji34] mamdo mwenyewe tengua kauliHahaha weee mie najua kupika vizuri sana mamdo!
Wali mauaSijajua Kuna siku nilikuwa kwa mtu njegere zimechanganywa na wali nilishangaa
Nifundishe plz nijaribu maana Kuna siku nilinunua njegere na nyama nataka nipike nikaishia kuzigawa tuWali maua
Napika kila week hicho naweka na binzari ya njano
Unapika tu mwenyewe bila hata kufundishwa🤣Wa kunifundisha hayupo akija nitajaribu. Nazipenda mno ila kupika sijui mwee [emoji2]