Hata hiyo bado ni nzuri, mimi huwa napika wali peke yake njegere namix na nyamaSijajua Kuna siku nilikuwa kwa mtu njegere zimechanganywa na wali nilishangaa
Afu kweli, nitazama Youtube nijaribu ili hata nikivuruga iwre siri yanguUnapika tu mwenyewe bila hata kufundishwa
Kuna x wangu alikuwa anajua kupika sijui nirudiane nayeHata hiyo bado ni nzuri, mimi huwa napika wali peke yake njegere namix na nyama
Hiyo ya njegera mixer wali nayo ni nzuri na ni rahisi sana kupika.
Digital per vagina examination is very vital examination ukiwa unachunguzwa magonjwa ya uke ,kizazi ,mirija au mfuko wa mayai au tumbo la chini. Don't feel ashamed-it is a very normal procedure,angekufafanulia tuBwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 si mimi ni mamdo wako banamamdo mwenyewe tengua kauli
Haya nakueleza wali mauaNifundishe plz nijaribu maana Kuna siku nilinunua njegere na nyama nataka nipike nikaishia kuzigawa tu
Kuvuruga ndiyo mwanzo wa kujua.Afu kweli, nitazama Youtube nijaribu ili hata nikivuruga iwre siri yangu
Mrudie tu ufaidi mahanjumatiKuna x wangu alikuwa anajua kupika sijui nirudiane naye
Mimi ni hapa tu….
Wewe ni kiboko.
Ila wengi tu hawawezi chapati za kusukuma.
Nadhani Kwa sababu zinahitaji muda sana..
Ukilipua tu umekwisha!.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hutaki tabu Binti Abiudi.Mimi ni hapa tu….View attachment 2264976
My favorite food:Chapati.Mimi ni hapa tu….View attachment 2264976
Sema huu mwaka hauishi, nitajaribu kupikaHutaki tabu Binti Abiudi.
AsanteHaya nakueleza wali maua
Hiyo ya kuchanganya na nyama sijawahi naona vitakuwa vingi labda uunge nyama pembeni
Mahitaji
Vitunguu 2
Carroti 2
Hoho 1 kubwa
Njegere kikombe 1
Wali vikombe viwili
-Iliki
-Njegere
-Kitunguu saumu
-Chumvi
Mandalizi
-Osha njegere zitoe kwenye maji
-Chambua iliki kisha zisage ziwe unga/robo kijiko cha chai
-Chambua mchele na uoshe
-Chambua kitunguu saum menya tangawizikisha visage
-Katakata karoti na hoho muundo wa vibox vidogodogo
Jinsi ya kupika
-Bandika sufuria yako jikoni,weka mafuta kidoogo saaana
-Kisha kabla hayajapata moto weka njegere hii inazuia njegere kutorukaruka,koroga hadi njegere zibadilike rangi
-Kisha weka Karoti endelea kukuroga
-Weka mchanganyiko watangawiz na kitunguu saum koroga hapa usichelewe sana maana vitunguu huwa vinawahi kushika chini
-Weka unga wa iliki kisha mchele
-Koroga hadi vichanganyike haswaaa
- Weka maji kisha weka chumvi koroga na ufunike
Baada ya muda angalia wali wako kama umekauka kisha palilia(weka moto juu na chini kidogo)
Subiri kama dk 20 angalia kama umeiva weka hoho ulizokwisha zikata hapo awali kisha geuza kidoogo na funika tena kwa dk 5.
Baada ya hapo waweza pakua wali wako ukiwa na harufu nzuuri na mauwa yake ambayo ni karoti ,njegere na hoho
Kula kwa macho mkuuMy favorite food:Chapati.
Kwa kula tu uko vizur kupika sasaMimi ni hapa tu….View attachment 2264976
Hizo najua kupika..Kwa kula tu uko vizur kupika sasa
Nitumie VN ya maelekezo..
HahahahHizo najua kupika..
za kusukuma sasa
Pamoja
Acha tule tu.. nimetoka kula kiporo chake muda si mrefu hadi ukoko
Mwambie wewe ni afsa kipenyoww binti mm siyo dokta