Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.

Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
Namna nyingine ni ipi ?
 
Ah nimeipenda
Madaktari mna umuhimu kwetu sana
Wengine wana huduma nzuri mno wanayoitoa kwa jamii .. kuna paediatrician mmoja namkubali sana that man is humble .. Mungu ambariki kwa kweli .
Hapa kwetu kuna madaktari wazuri mno sema ndio kwa bahati mbaya unaweza kumbana na wasio bora sana kwene hiyo fani ila wazuri wapo.
 
Haikwepeki japo ushauri mzuri sana
Tunajifunza mno kupitia kugoogle mfano kuna situation unaweza pitia hujui cha kufanya , mfano
Postpartum depression kupitia Google unaweza pata ushauri jinsi ya kukibaliana na tatizo .
Mimi huwa nagoogle kiukweli ila kutumia dawa sijinunulii tu lazima nimuone dr. Anachosemea Spider nadhan anasemea wale watu akigoogle akaletewa majibu tofauti na atakayoambiwa na dr mushkeli unaanzia hapo kumbe tunasahau kuna muda google taarifa zinawekwa si zote ni sahihi. Ila mara nyingi inasaidia kutupa mwanga.
 
Mimi huwa nagoogle kiukweli ila kutumia dawa sijinunulii tu lazima nimuone dr. Anachosemea Spider nadhan anasemea wale watu akigoogle akaletewa majibu tofauti na atakayoambiwa na dr mushkeli unaanzia hapo kumbe tunasahau kuna muda google taarifa zinawekwa si zote ni sahihi. Ila mara nyingi inasaidia kutupa mwanga.



Inatupa mwanga kwa kweli , Google inatusaidia mno
Ah kubishana kupo ndio .. inabidi healthcare workers waendane na hilo tu ... Hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom