Selfika na JF: Snap it. Show it

Ikawaje shost, tupe kisa hapa.
Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.

Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
 
Yaani huduma nyingine anihudumie mwanaume..
Kuuliza maswali Nini,ila linapokuja suala la sindano na kuchunguliana basi napenda awe mwanamke.

Wanawake wengi tuna roho mbaya hatari.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi hadi leo hii nikienda hospital napenda anihudumie mwanaume kiukweli kabisa.
 
Hongera dokta kazi nzuri hyo umetufanyia
 
Wadada wa kizungu pia wanataka 50/50 na pia hawachoki kwenye sex?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…