Yeah huwa naifuatilia vizuri. Mwanzoni nilikuwa naiignore, siku niliyosema niangalie ndiyo nikajikuta nimeipenda mazima. Inafurahisha, kuhuzunisha na kuelimisha haswa.
Mke mkubwa angechukua tu 50% zake akatulia, sio kwa wizi alioufanya. Teh ila ananyuka pamba sasa hivi, na lile guu la bia
Revenge ya kwio. Uzuri wale wake wenzake wote wanapiga kazi shambani; angewaacha waenjoy hata % ya mume wao.
Tamara tapeli mkubwa, anachowaza ni kuchop money tu. Pale wake ni Mwiza (ticha) na Tombi. Shupiwe Kila siku "daddy daddy"; sasa hivi Nguzu kafulia hana hata habari. Kweli wakati wa shida yako, ndiyo unawajua walio wako kweli. No wonder Mwiza is his all time favorite wife.