Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nitakusindikiza, japo mimi nitakaa meza ya mbali, nyie muendelee kuoneshana picha live [emoji57][emoji57]Kama hutaki nyumbani sawa..ila nje na nyumbani lazima iwe mchana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa!! Acha kabisa dia![emoji23][emoji23][emoji23] mama usinikumbusheee hawa madokta hawa
Yeah huwa naifuatilia vizuri. Mwanzoni nilikuwa naiignore, siku niliyosema niangalie ndiyo nikajikuta nimeipenda mazima. Inafurahisha, kuhuzunisha na kuelimisha haswa.😅😅 unawajua hadi na majina.. uko vyedi…
Wamfelishe tu, mie sijapenda anachowafanyia wenzake.
[emoji1787]Huyo alikuwa ni mzabzab alishahadithia hiko kisa, sema mlikuwa hamjuani, na alifungulia na uzi sema mods waliufunga.
Hajazaa uyu eh😅😅 kifua tu unaogopa hivyo?
Ukikuwa uoga utakuisha…
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Bado… angekuwa tayari asingeogopa kitu kidogo hivyo.Hajazaa uyu eh
Duh....Hahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama ulijuaa huo mgawanyo wa 23% ndio nauwazia hapa😂😂🤣🤣🤣🤣😜😜😜!!Mwalimu unawza salary ya mwezi wa 7
Mr. Duh + AiseeeDuh....
Noma sana jirani!!Duh....
Vinashirikiana kufanya kazi..Weee venye unajua Kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi ujue 🤣🤣🤣🤣🤣!!
Nlivoonaga kwa mara ya kwanza nkampgia na simu bi mkubwa nakumshukuru akabaki anacheka tuBado… angekuwa tayari asingeogopa kitu kidogo hivyo.
Mm sinawajua walimu sijui kwann niliachana na yule mwalimu ningepata hata ka mil 1 hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ulijuaa huo mgawanyo wa 23% ndio nauwazia hapa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]!!
Nipande daraja la pili nahio increment watu wauweeeeeeeehhhhh!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!!
🤣🤣🤣Race hii wana baridi na sio watamuu, hata wanaume wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ulidhani kwa nini makoti ni marefu vile na wanafungaga vshikizoWeee venye unajua Kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi ujue 🤣🤣🤣🤣🤣!!
🤣🤣Mr. Duh + Aiseee