Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko mahospitalini kumbe kuna vihoja eeeeeh. Mbavu zangu mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hata mie na feel comfortable kuchomwa sindano na nurse wa kike.
 

Kipimo kigumu sana hicho

Hahaha na wakiume wanapenda hao kuchoma
Sipendi sindano bora unipe dawa nijue moja .
 
😂😂😂😂😂😂
Mwee🤣🤣🤣🤣
Kipimo kigumu sana hicho

Hahaha na wakiume wanapenda hao kuchoma
Sipendi sindano bora unipe dawa nijue moja .
Sindano inafanya kazi haraka kuliko dawa.

Halafu kifua kilikuwa kimebana sana..Bila sindano sijui ingekuwaje.
 
Una ujinga 🤣🤣🤣🤣 ila inaonyesha bado hujaumwa wewe…. Yan ile kuumwa kisawa sawa kwako bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…