Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Z polygamist 😂😂😂 akiona hapa atanichamba
Z polygamist 😂😂😂 akiona hapa atanichamba
Kwenye wanazengo na wewe ulikuwepo mamii!!Hahhaha hivi mimi kweli au wananzengo walikuwa wanakuita hivyo
Hahahahahwaja wana laana aisee yaani humu humu tunabadilishwa hadi jinsia,, wewe itakuwa ni sababu ya jina lako lilivyo..
Nimekumbuka kuna uzi mtu kaanzisha eti ni member gani humu unayetamani kufanya naye mapenzi kuna mtu akajibu humu mwanaume hachelewi kumtaja mtu akidhani ni mwanamke kumbe dume lenzie![]()
Ndiwoookumbe na yeye ni mmojawapo??









Waiting.......Loadin...
WoyooooooHaya mkuu usije kuniroga kweli bure,hizo za wakati wa ujana now nishazeekaView attachment 1253781View attachment 1253782
Mmh jamani mbona sikumbuki mieKwenye wanazengo na wewe ulikuwepo mamii!!
Huwezi kukumbuka dada!Mmh jamani mbona sikumbuki mie

Usisahau kunitagWaiting.......
Atakuongeza mke wa 4Z polygamistakiona hapa atanichamba
Naomba kofia mimi jamani!!Haya mkuu usije kuniroga kweli bure,hizo za wakati wa ujana now nishazeekaView attachment 1253781View attachment 1253782



@DepalHaya mkuu usije kuniroga kweli bure,hizo za wakati wa ujana now nishazeekaView attachment 1253781View attachment 1253782
Hali wali mkavu huyooo 👌Haya mkuu usije kuniroga kweli bure,hizo za wakati wa ujana now nishazeekaView attachment 1253781View attachment 1253782
Nishakutag MkuuUsisahau kunitag
AiseeHaya mkuu usije kuniroga kweli bure,hizo za wakati wa ujana now nishazeekaView attachment 1253781View attachment 1253782
Umeona eeehhhHali wali mkavu huyooo![]()