Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Nimeona dada, niombee saa hiyoUmeona eeehhh
Nimeona dada, niombee saa hiyoUmeona eeehhh
@Mgagaa na upwa kuna mtu anaomba saaNimeona dada, niombee saa hiyo
Bado wewe sasa kutupia sasaUmeona eeehhh
Ndo mwenyewe 😃Hali wali mkavu huyooo 👌
Mie nishatupia sana jamaniBado wewe sasa kutupia sasa
Na ambavyo huwa hutaki masihara 😂😂@Mgagaa na upwa kuna mtu anaomba saa
InapendezaNdo mwenyewe 😃
Ya ujanani hiyo,hata sikumbuki ilipotelea wapi,maana kitambo@Mgagaa na upwa kuna mtu anaomba saa
Kwenye kuomba sitaki mchezoo kabisaaNa ambavyo huwa hutaki masihara![]()
Umeanza uchoyooYa ujanani hiyo,hata sikumbuki ilipotelea wapi,maana kitambo
Wala si mchoyo mimi,wewe hapo ndio mchoyoUmeanza uchoyoo
Hahahhaaaaa shhhhhMjeda ebu acha kunibadilishia gear angani
Kweli eti dadaangu napambana na hesabu hapa jioni atanitukana sana yule mzeeAcha uongo bana
Mekunyima nini eti jamaniWala si mchoyo mimi,wewe hapo ndio mchoyo
Mungu anakuzooommmKweli eti dadaangu napambana na hesabu hapa jioni atanitukana sana yule mzee



aisee kuna watu wana vibarua
Sana
Kuanzia jinsia zetu,,wengine ukibishana nao Sana anakwambia hiyo I'd unayoitetea Ni yako.
Mara wengine wanasema Mimi nitakuwa ndo karma