Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Tunashukuru dada ila hatutaki rinda fupi.
Tunashukuru dada ila hatutaki rinda fupi.
Njano ni traaaaamu 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡Kumbe njano ndio nzuri hivi?
Hawa madaktari wa mchongo wa ICU wamependeza…
Weee huku ni nyuma?
😂😂😂😂😂😂😂😂 anisameheeBk rubani yule, usimshushe cheo tasavali😂
Hiyo siyo ya kunyosha.Hivi wenzangu mnazinyooshaga kawaida au? Nikiwaza hayo marinda...
Umesema upo wap fire au NJ Depal
Nitarajibu next timeMimi zilitoka chap, au Jaribu kunyoosha na maji..hapo penye mkunjo wekapo tumaji then pasi.
Ushajua allergen kwako n niniHivi vipred ndio hadi vilinizoea.
Yupi huyo?Tanga siijui hata kidogo…
Zaidi ya kupita pita hapa na pale…
Kwani yule kaka mrefu handsome, rich na mwenye sauti nzuri yuko wapi?
Yule Tanga iko mkononi mwake Saint Anne
Kwanini lakini 🤣🤣🤣Weee huku ni nyuma?
Ooh hata wauzaji wanakwambia hivyo; sasa mikunjo inatokaje jamani? Mimi nazifua ila mikunjo inakuwepo, especially kwenye hizi za material ya cottonHiyo siyo ya kunyosha.
Kuna namna shetani ameshika anga.Jamani mimi nimefua several times naona ipo tu, so huwa najitoa tu ufahamu nagonga hivyohivyo itakavyotokea![]()
Nilishaachana na dawa.Huwa inatuliza tu. Afu kuna muda dawa inakuzoea sana, hata ukinywa inadunda
Dyadya uko vzuri😍😍
Kumenishtua sana😂😂Kwanini lakini 🤣🤣🤣
Hivi ndiyo ulikuwa na vile vinyama?Nilishaachana na dawa.
Nimechoka...Option pekee ninayoitamani ni operation tu.
Tena usirudie🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 anisamehee
Hahaha changamsha bongo ilo… yuleee i know you know him, we bana wee.. yule mrefu 🤓Yupi huyo?
Mwambie nampenda sana 😂Tena usirudie🤣🤣🤣
Sanasana vumbi na uvundo.Ushajua allergen kwako n nini