Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
Kwani hapo ni AR? 😂😂Ukasema ujawah fika AR
Kwani hapo ni AR? 😂😂Ukasema ujawah fika AR
Hapana, bado ana heshima kidogo; hajaharibika kabisaAmetudharau wakubwa😂
Eeh Bado kidogoooooo 😂😂😂😂😂kwamba sijakengeuka sana..
Ngoja nirudi mstarini basi 😎Eeh Bado kidogoooooo 😂😂
Nitaweka, halafu uje unitoe out, sina gharama bia 2 na nyama choma boss, ujue sitanii, nipo serious ujue, unitoe out.Tatizo siyo wewe kuweka..
Unaweka muda ambao sipo🤦
Ewaaaaa, karibu sana nyumbani 😂😂Ngoja nirudi mstarini basi 😎
Mimi kama mkubwa nasema mtoto ameshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, bado ana heshima kidogo; hajaharibika kabisa
Bado, tukimuwahi anaweza kurudi kundiniMimi kama mkubwa nasema mtoto ameshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkubwa wa mchongo 😂Mimi kama mkubwa nasema mtoto ameshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkubwa wa mchongo [emoji23]
Nipe kwanza picha .Nitaweka, halafu uje unitoe out, sina gharama bia 2 na nyama choma boss, ujue sitanii, nipo serious ujue, unitoe out.
Ni muda wa kumrudisha kundini,Bado, tukimuwahi anaweza kurudi kundini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkubwa wa mchongo [emoji23]
Ila we dada hayaa bhnKwani hapo ni AR? 😂😂
Jirani hujambo..
Wapi hiyo
Aisee..Mbona hujamwekea na sauvage dior?
Ile og yake inanukia sana… ina smell kimahaba 🙈🙈
Jirani habari 🙈Aisee..