Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaaah basi sawa nimeona, ilikuwa ni mis-quote mkuu. Mimi nilidhamiria kumquote cocastic bahati mbaya ikawa kwako. Niwie radhi kwa hilo.


Pamoja na hayo huwezi kuwa baba angu wewe, acha mikwara.

Cc Glenn
Mkuu ujue binadamu hubadilika kulingana na mazingira, ukiwa na watoto lazima uta adopt lugha ya watoto ili uende nao sambamba so hili linawezekana kabisa.
Ktk maisha halisi huwezi kunikuta nikitumia lugha sawa na ya jf kamwe
 
Back
Top Bottom