Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,309
hahahaaa anazingua huyo !!
hahahaaa anazingua huyo !!
Bado haijaupload nn
lol jina nimelisahau ngoja nikumbuke!!Sio sana .. inaitwaje hiyo nywele
Inaonekana kwa chini
Umependeza
Jiraniiii...Tinsley hapo inaonekana Vizuri kweli??
Ooh hayalol jina nimelisahau ngoja nikumbuke!!
Asante dear!
Una lipsi/mdomo mzuri kweli kweli unasadifu kuwa yaliyomo yanaweza kuwemoTinsley hapo inaonekana Vizuri kweli??
🤣🤣🤣Hamna kitu hapo Eli shukrani kwa Kamera tu mkuu!!🤣Una lipsi/mdomo mzuri kweli kweli unasadifu kuwa yaliyomo yanaweza kuwemo
Usiwaze namy!! Ok nimekumbuka ilikua imeandikwa kisura !!Ooh haya
Utaniambia
kamera tena....Aaaah wewe uzuri wa kamera unaweza kutengeneza uzuri wa lipsi/domo?Hamna kitu hapo Eli shukrani kwa Kamera tu mkuu!!
![]()

Yaani asiee Wana moyo SanaSijui wanawezaje na joto hivi
Unaweza litupa huko

Ah hii nzuri sanaUsiwaze namy!! Ok nimekumbuka ilikua imeandikwa kisura !!
Eti kichwa mwezi mzima no maji, zamani walikuwa wanaoga na chakachaka sijui sikuhizi![]()



Kwa kweliYaani asiee Wana moyo Sana![]()
Wiki ni sawa maana joto humo ndani ukikaa nalo mda mrefu ni hatari ukute kipindi Cha joto sasaKwa kweli
Nikishonea wig ni week moja baada ya hapo natoa ... Siwezi vumilia kabisa
Strawbella habari auntieSasa unachukua ipi dear?