Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kipindi cha mwamba.. ukweli raha tulikula, unaingia kazini una set mambo unawahi kula bata mwanza .. ila sasa mambo ni jehanamu hela inapatikana kwa mshumaa 😃😃😃😃😃
Hahaha mkuu unanikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanyia kazi porini..jioni nawasha gari huyo Karatu au Mbulu.
Na kuna kipindi nilikuwa porini kule Mkuranga ndani ndani jioni narudi Dar.
Lakini wese lilivyopanda hivi mahesabu ni makali sanaa
 
😃😃😃 Sema kipindi hiki ramani hazina North wala South.. ukisema unachoma mafuta kila siku.. lazima roho ikuume. Haya mambo ya nyakati zake..
 
Back
Top Bottom