Selfika na JF: Snap it. Show it

Nidhamu tu mkuu.
Nina uzoefu na haya makitu kuna kipindi niliwahi kwenda viral kwa hizo kazi.
Sema na kazi za field nazo zilijileta hivyo pakawa na mgongano wa ratiba nikaegemea field zaidi kwani nayo ilikuwa inalipa sana.
Kazi za field huwa zina haribu ratiba nyingi. Ilifikia mahala hadi mtu akaenda kwa client kuni kaanga sitembelei site na wala huwa sikai site πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Client nikamuambia mpeni kazi mwingine, wakaona mchakato mrefu ikabidi watii
 
Yap mdogo mdogo nahama field najikita huku zaidi na nimwongeza muda wa kazi..zaidi usiku kama huu ndio haswa nazifanya.
Uzuri hazinibani zaidi zinahitaji kupiga jicho kila wakati na analysis zaidi
 
Haha halafu wateja flani wako kama mazombie...haya nimwkutana nayo sana, mie akinizingua kwa upole namuaga lazima anitafute tena.
 
Yap mdogo mdogo nahama field najikita huku zaidi na nimwongeza muda wa kazi..zaidi usiku kama huu ndio haswa nazifanya.
Uzuri hazinibani zaidi zinahitaji kupiga jicho kila wakati na analysis zaidi
Safi sana.. Kila lakheri mkuu. Ukiweza apply RM vizuri, game ni lako na ukikaa kwa miezi minne au sita mfululizo umetoka mzee.. kinacho fanya mambo yawe mazito ni watu kushindwa kaa mda mrefu sokoni kwasababu ya poor RM skills
 
Nina miaka 9 mzee baba, nina matunda ya kutosha.
Nikifeli labda greedy iniangushe otherwise sijisifu niko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…