Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,999
- 27,975
Kama mke wangu tu, ni kusuka nywele zake mwenyewe mambo ya kuvaa weaving nilishakataa kabisa na uzuri yeye pia hayapendi (huwa yanamuwasha)Maweaving kukaa nayo ni kipaji.
Mimi kichwa changu kinawasha sana nikisuka rasta.. nimeamua niwe nasuka za mkono tu ambazo nafumua baada ya muda mfupi then naosha kichwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app




