Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Mistari imepinda[emoji38]Umewezaa dada.
Kupiga mstari nyuma ni kazi sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mistari imepinda[emoji38]Umewezaa dada.
Hongereni watani
Tinsley usinianguashw banaTricky question
Not really
kwanza hela zenyewe sina ...
[emoji847][emoji847][emoji8][emoji8][emoji8]
Utakua Makolo[emoji1787]Mxiuuu [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Jirani tupia kapicha tukuone.Safi sana jirani...
Ooh vyema [emoji120][emoji2536]Niko salama sana best na kazi nachapa kwa kwenda mbele
Ahsante sana[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]Mwezi huu hauishi mtaachana tu
Kale kastyle kananipa changamoto kwenda saluni every week yaan kukaa kwene draya ule moto unanichosha. Najivuta vuta zikikua mbeleni ntaweka tena tena.
😄😄😄😄 Dah aseeehKaka hali ngumu vocha adimu upone haraka wanawake wabahiri
Jirani camera ya simu yangu haiko sawa. pia muda wa mchana natumia pc kushiriki humu-haina camera
Ebu nione basi.. si unajua tena tupo wapenzi wa mtindo huoNanyoa fupi kabisa na hazina dawa.
nicheki huku kwa watsApp tubonge''0672105747Embu ondoa hiyo kofia, mbona kama nakufahamu mkuu[emoji848]
mambo niaje ww?Cuzooooooh!!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatari sana
Umepewa kila kitu 🔥🔥🔥
[emoji7]Umepewa kila kitu [emoji91][emoji91][emoji91]