myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Kwahyo mpka Leo upo nayeSio mbahiri in such
Unakuta mtu hana pesa sasa utafanyaje na umempenda .
Ooh sahihiHatari sana kutafuta mali pamoja. Kila mtu atafute zake.
Nakumbuka usemi wa mzee wangu.. alikuwa anasema kijana wangu, usichume mali na mwanamke.. Pambana hakikisha unakila kitu na upo stable.. ndio chukua mtu wa kuishi nae, na akikusumbua muachie kila kitu alicho kukuta nacho.. Maana hajui nyuma ya akicho kikuta kimekuwaje na kimesisimaje.. Hizi habari za kutoka mkatafute wote ni nzuri lakini
Stori tu hiziKwahyo mpka Leo upo naye
Mwezi huu hauishi mtaachana tu
Maisha yako yakishua kudate na ss makapuku wa kimara hauweziStori tu hizi
Siongei maisha yangu
Halafu sio buku kiuhalisia ni hela yoyote ndogo ndo naisemea .
Nani kakuambiaMaisha yako yakishua kudate na ss makapuku wa kimara hauwezi
Sawa mamiiiNani kakuambia
I'm just an ordinary girl
Makapuku wazuri pia .. anakupenda ile yenyewe
Marahaba jirani....uko salama?
Kweli kabisa..Nani kakuambia
I'm just an ordinary girl
Makapuku wazuri pia .. anakupenda ile yenyewe
Aisee....Tufanye kazi za watu tu wenye vocha wamegoma wanatumiana pm huko tu View attachment 2262709
Hii nchi ina vijana wa hvyo sanaAisee....
Shougaa angu, nna ubuyu pambeee na umbea umenikaa hapaaa,. Na unajua sina kifua hichooooo, akuuuh ntapasuka bureee, ukuje nikukutulie nawee uhangaike nao.Nipo shos asante sana selfika ziendelee!!!
😃😃😃😃😃Hii nchi ina vijana wa hvyo sana
Ukitoka uje tuzurure hukuTufanye kazi za watu tu wenye vocha wamegoma wanatumiana pm huko tu View attachment 2262709
Yaaani....Hii nchi ina vijana wa hvyo sana
😂 😂Ukitoka uje tuzurure huku