Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu ni full love,wanawake wote Humu ni wazuri,aliyeumbwa na mungu hawezi kuwa mbaya,.
Ok
EWZFsscWsAAOdCL.jpg
 
Mtuma vocha anaumwa. Na sina uhakika hata kama mnamuombea ili apone haraka. Nyie kulalamika tu

Ostaadh Mjep. Natumaini unaendelea vyema huko uliko. Hebu na upone haraka aisee maana kuna watu wanalala na kuamka wanaota vocha.
Niko salama sana kaka mkubwa
Afya iko imara sana kwa sasa jana nimetingwa sijapata fursa ya kuingia tuu
Nawashukuru woote kwa maombi na dua zenu 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom