Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Kaka hali ngumu vocha adimu upone haraka wanawake wabahiriNashukuru sana chief![]()
Kaka hali ngumu vocha adimu upone haraka wanawake wabahiri


@Tinsley ulishawahi kumpa mpenzi wako hela ww
Wabahiri kivipi ?
Tricky question@Tinsley ulishawahi kumpa mpenzi wako hela ww
Tricky question kivp Shem jibu basiTricky question
Not really
kwanza hela zenyewe sina ...
Nimejibu rafikiTricky question kivp Shem jibu basi
Yani wewe una maswali ya majaribuuTricky question kivp Shem jibu basi


Kama yy Shem Hana hela ya kukupa utamuelewa kweliNimejibu rafiki
Nikiwa nayo nampa. ... Ila kama sina sivungi wala nini
NamuelewaKama yy Shem Hana hela ya kukupa utamuelewa kweli
,muda wote nahangaika kupiga mstari.Ujengewe sanamu Ila akikuachia hyo buku kila siku kwa Muda wa miezi 3 itakuajeNamuelewa
Kuna kupata na kukosa
Hata ukinipa buku sawa maana maisha ni kutafuta
Naona Shem kaacha hela ya kusuka Hongera mwanamke nywele mwanamke shepu mwanamke kifuaniGood morning.
Tusuke nywele
Kujisuka ni kipaji,muda wote nahangaika kupiga mstari.View attachment 2262619View attachment 2262622
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapo inabidi wote mtoke kwenda kutafutaUjengewe sanamu Ila akikuachia hyo buku kila siku kwa Muda wa miezi 3 itakuaje
Ushawahi date na mbahiriHapo inabidi wote mtoke kwenda kutafuta
Na mtiane moyo kwa pamoja na sio kulalamika tu
Ila sina experience mie naongea tu
Rome wasn't built in a day