CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Lady jaydeeNimeshakunywa maziwa
Sumu sijaitapika
Akili haifikirii Imekumbwa kitu gani
Nina zunguka zunguka
Nina tembea tembea Nina ongea ongea
Hata sijieliwi
Aah Nimekua teja, teja wamapenzi, ooh nimebwia unga oooo sijiwezi, mimi nimekua teja, teja wampenzi, uuh nilobwia ungwa sijui ni aina gani. Kumbe mapenzi ni sumu
Old is gold![]()







). 
