Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Senior bachelor
Hapo ukipata na vocha basi kwishnei kabisa. We jamaa unanifurahishaga sana!Senior bachelor View attachment 2262025




Pigo za ki Tupac.



Mtuma vocha anaumwa. Na sina uhakika hata kama mnamuombea ili apone haraka. Nyie kulalamika tuVocha zimekua adimu kweli siku mbili tatu hizi

Kuna wanawake wabunifu sana, hii picha umenikumbusha nyumbani kwangu kila jioni wakati nasubiria msosi wa usiku nakutana na kikombe cha uji, ule uji sijui huwa umewekewa nini tu ni mtamu balaa?

Kapicha kalinipitamo 😊Yes im here sweetbbaby!!!![]()
Kapi hako kipenzi niliwekamo mimi???Kapicha kalinipitamo 😊
Ndiyoo😘😘..nimekutamo misifa tu huko juu..😀Kapi hako kipenzi niliwekamo mimi???
Ndiyooo🤗😘😘😘Sawa Mpenzi usitoke hapo
Ndiyooo🤗😘😘😘
Nipo kusubiri
Nadhani hiyo ni kwasababu uzuri wa mtu upo machoni kwa mtazamaji, kwako mbaya kwangu mzuri.Ila wabongo ni wanafiki.
Kwamba kwenye photo zinazo tumwa zote hakuna mbaya yeyote!!.
🙄🙄Wapiiiii!!!!Nishatupia naked kipenzi !! Umeonaa??
Hahahaaa nimeweka imekaa ujue ilikua naked ngoja niirudie ila saivi nacrop🙄🙄Wapiiiii!!!!
Sijaona bana
Naked!!!...embuuuuHahahaaa nimeweka imekaa ujue ilikua naked ngoja niirudie ila saivi nacrop