Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 15,001
- 35,468
Hapo sawa, heels sio za kuziletea mchezo mchezo zinaweza kukuabisha[emoji2]Ah nitavaa sehemu maalumu tuu. Kuna kipindi nilifululiza kuzivaa nikienda class [emoji23][emoji23], lakini Kwa mkoba nna vilapa vya chini. So, nikisimama kwenda kufundisha wanafunzi, navaa vindala vyangu