Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Vocha tu na mkipewa lunch and dinner huko tunakuja wote ni wana JF[emoji1787] ni vocha tu ama kuna kingine?
Nimecheka mno.
Vocha tu na mkipewa lunch and dinner huko tunakuja wote ni wana JF[emoji1787] ni vocha tu ama kuna kingine?
Nimecheka mno.
Hatujapoa !! Unatusaidiaje sasa!!🤔🤔Poleni jmn😄😄😄
Inaumiza mno [emoji2][emoji2]Sijui wanaoziweka wanajisikiaje wanaporusha vocha ya 20K halafu inaishia kudakwa na njemba. Sipati picha wanavyosonya na kulaani! [emoji16][emoji16][emoji16]
Chaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vocha tu na mkipewa lunch and dinner huko tunakuja wote ni wana JF
AntonniaYako iko wapi???[emoji848]
[emoji1787][emoji23] this is too muchVocha tu na mkipewa lunch and dinner huko tunakuja wote ni wana JF
Aisee!Nadhani vocha zingewekwa mda ndio huu [emoji28]
Baba Mchungaji angekuwepo hapa bila shaka angewachana laivu maana huwa hana masikhara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]Inaumiza mno [emoji2][emoji2]
Jiongezeni mama J.Hatujapia !! Unatusaidiaje sasa!!🤔🤔
Wanaume wetu wa siku hizi ni kiboko [emoji119]Poleni jmn[emoji1][emoji1][emoji1]
Tuombe radhi wanaume...utakuwa unaongelea wavulanaWanaume wetu wa siku hizi ni kiboko [emoji119]
Wanapenda dezo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Akija si atakuta comments, atamalizana nao [emoji1787]Baba Mchungaji angekuwepo hapa bila shaka angewachana laivu maana huwa hana masikhara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Kwamba ni Long term plan msukuma au unataka kusemaje prof!Sijui wanaoziweka wanajisikiaje wanaporusha vocha ya 20K halafu inaishia kudakwa na njemba. Sipati picha wanavyosonya na kulaani! [emoji16][emoji16][emoji16]
50/50Inaumiza mno [emoji2][emoji2]
Jaman hivi huwa hamuoni hata tags ni za ladiez?? Em acheni hizo basi [emoji2][emoji2]50/50
Kwani kuweka vocha kuna masharti humu?? Kwamba ni lazima ziende kwa ke??Tuombe radhi wanaume...utakuwa unaongelea wavulana
Ikishawekwa humu hio ni sandakalawe mdogo wangu!!Jaman hivi huwa hamuoni hata tags ni za ladiez?? Em acheni hizo basi [emoji2][emoji2]
Hivi kweli mtu kama mimi au Shimba ya BuyenzeKwani kuweka vocha kuna masharti humu?? Kwamba ni lazima ziende kwa ke??
Baba T mie Mwenzio kilaza Naomba unisaidie tujiongezeje ankoo!!Jiongezeni mama J.
Huku kunavwatu nje ya members wa selfika wapogi kimya kimya wananyemelea vocha ujue😅