Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Waliwahi niumiza wakati mdogo, sipatani nao kabisa.Kwanini??
Anaitwa Billy
Mpe hi Billy, jina la kinyamwezi.
Waliwahi niumiza wakati mdogo, sipatani nao kabisa.Kwanini??
Anaitwa Billy
Huyu yuko fresh tu mbona,,, sema kama nkipata ka puppy ntakuleteaWaliwahi niumiza wakati mdogo, sipatani nao kabisa.
Mpe hi Billy, jina la kinyamwezi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ndio huwa mnatusema sana wanawake kuwa ni ombaomba binafsi sikatai na hapa naomba voda ya buku mbili Ndugu yangu MB zinakaa soon!! Nakutegemea mkuu!Kuna kitu hakipo sawa apa “omba omba??
Kwanza hatuja mtenga mtu.Hakuna namna!! Ila mjue pia kuna wenzenu Wengine humu pia nao wana uhitaji so nashauri msitupendelee wanawake tu !!
Ugua pole mkuuNaendelea poa sana boss lady
Nimepata matibabu
Nashukuru sana 🙏
Kabisaaaa! ila huwa inaburudisha sana humu ile kuparangana kuingiza vocha!!Nimefatisha tags huwa zinasemaje and ni tunafanya utani tu hapa, siwez pangia nani achukue vocha isitoshe sio mimi ninaeweka hizo vocha humu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ndio huwa mnatusema sana wanawake kuwa ni ombaomba binafsi sikatai na hapa naomba voda ya buku mbili Ndugu yangu MB zinakaa soon!! Nakutegemea mkuu!
Mjep ndugu yangu upo wapi
Paja hilo Anne
Yes, shukrani kwa wote wanaoweka vocha humu.Kabisaaaa! ila huwa inaburudisha sana humu ile kuparangana kuingiza vocha!!
Rafiki, pole sana.
Kabisaaaa!! Kwahio kaka mkubwa ikitokea ukaombwa vocha na kijana wa kiume humu unafanyeje wewe kama wewe kaka mkubwa!! Unamlia buyu ama nene!🤔🤔Kwanza hatuja mtenga mtu.
Hapa tunazungumzia kwa sisi hasa ambao tuna uhakika wa kujitafutia mahitaji muhimu kuwapisha dada zetu but hii sio sheria ni suala la mtu binafsi kujitambua na kuwapa wengine kipaumbele.
Lakini humu kuna wavulana au mtu mwenye changamoto za kiuchumi ni haki yake kupata hii huduma.
Mkuu niliona unadodosa masomo yahusuyo mambo yetu ya kule field...wewe ni mdau?Nipo mkuu wangu
Nashauri tuachiwe graduates..wa kiume na wakike.Kwanza hatuja mtenga mtu.
Hapa tunazungumzia kwa sisi hasa ambao tuna uhakika wa kujitafutia mahitaji muhimu kuwapisha dada zetu but hii sio sheria ni suala la mtu binafsi kujitambua na kuwapa wengine kipaumbele.
Lakini humu kuna wavulana au mtu mwenye changamoto za kiuchumi ni haki yake kupata hii huduma.
Mkuu unaumwa?
Pole sana
Kuna njemba humu zinataka eti uziwekee vochaNaendelea poa sana boss lady
Nimepata matibabu
Nashukuru sana![]()







Mbwa najua ni marafiki wazuri wa binadamu ila nilishaingia woga. Nawapenda ila nawaogopa.Huyu yuko fresh tu mbona,,, sema kama nkipata ka puppy ntakuletea


Amin🙏🙏Pole.
Mungu akuponye.
Kabisaaa huwezi jua kupitia utoaji huo unabarikiwa kupitia nani!!!!!Yes, shukrani kwa wote wanaoweka vocha humu.