Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmh hapo vyote hakuna Cha afadhali. Mfano kisu kimetua lakini hakijakuua, si wabaki kuteseka na maumivu pia?. Ila watu makatilii, mtoto wa mtu wamfanya hivyo kweli?
Miaka ya 2014 niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja mwenye wivu sana alikuwa ni mchepuko mkoa fulani ambako nilienda kikazi , yeye alikuw anatak asione hata namba ya mwanamke yoyote kwenye simu yangu isipokuwa mke wangu tu, na nisipokee simu yoyote baada ya saa mbili usiku, yani alikuwa ni mtu wa kulalamika bila sababu za msingi.

Siku moja usiku baada mgogoro wa SMS nikijua tayari nimesha-solve tatizo na kila kitu kitakuwa sawa, ile nimelala usiku nikawa naota kama napigana usingizini ile nakuja kushituka nakuta mto puani mtu kanikalia usoni na mikono kaikandamiza na magoti yake, nikaparangana weh bila mafanikio (alikuwa ni mnene kidogo)........nikakunja mguu kwa nguvu ili nimpige na goti mgongoni nikawa nimefanikiwa maana alipiga ukunga akalegea nikawa nimejitoa.

Nilipomuuliza anadai "bora tufe wote tu, huwezi kunichezea mimi wakati nimejitoa sana kwako".........aiseeh nilimpiga kwa uchungu sana siku hiyo, maana ilikuwa nikitaka kuacha na-emagene jinsi ambavyo ningekuwa kwenye jeneza na jinsi ambavyo familia yangu ingenililia napata hasira na uchungu napiga tena. Asubuhi yake nilimpiga chini sikutaka hata maongezi.

WIVU UKIZIDI SANA ,SIO SALAMA KWENYE MAPENZI....hapo nawaza angeamua kutumia kisu sijui ingekuwaje tu.
 
Mkeo angebaki mjane kisa mchepuko; watoto wako, wazazi wako........

Duh!! Nahisi ulitamani ummeze... Kweli kabisa wivu uliozidi ni tatizo katika mahusiano.
 
Angekumaliza ili iwe fundisho kwa wote mnaojidai mna tamaa sana hamtulii na wake zenu tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ni afadhali hata kukitwa likisu la moyoni ukiwa umelala kuliko kumwagiwa maji au mafuta ya moto aisee.

Maisha ya hatihati!
Nimetafakari haya matukio kushamiri hiki kipindi.
Report:
Naamini kabisa watu wana ka stress na ka uchumi kalivyo wachanganya, ongezea na stress za mapenzi = 🔥, ka maisha kametupiga kiukweli, nje ya ushabiki wa kisiasa, kwa maana ka hali kameikumba dunia nzima, japo viongozi wetu Africa hawachukui hatua stahiki, ka maisha kana take advantage kanatupiga, mpaka sasa ka maisha kana 3 mwananchi 0, ka stress ka baby kakiongezea, aaah mbona ka grenade kama kapo mnajilipua tu.
 
Michepuko sina hamu nayo. Inakuharibia familia kabisa. Mume anaaga aenda kikazi wiki. Kumbe ako Kwa mchepuko anakula starehe... Anasuburi aunguzwe na maji ya moto then wewe uje uuguze.
Abeeee. Wanasemaga ndiyo nature yao, eti michepuko inaimarisha ndoa.

Kumwagiwa maji ya moto tena, ilikuwaje???? Afu hapo mke ndiyo unatakiwa umuuguze, na ukute nyumba ilikuwa haikaliki kisa mchepuko....
 
Miaka ya 2014 niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja mwenye wivu sana alikuwa ni mchepuko mkoa fulani ambako nilienda kikazi , yeye alikuw anatak asione hata namba ya mwanamke yoyote kwenye simu yangu isipokuwa mke wangu tu, na nisipokee simu yoyote baada ya saa mbili usiku, yani alikuwa ni mtu wa kulalamika bila sababu za msingi.

Siku moja usiku baada mgogoro wa SMS nikijua tayari nimesha-solve tatizo na kila kitu kitakuwa sawa, ile nimelala usiku nikawa naota kama napigana usingizini ile nakuja kushituka nakuta mto puani mtu kanikalia usoni na mikono kaikandamiza na magoti yake, nikaparangana weh bila mafanikio (alikuwa ni mnene kidogo)........nikakunja mguu kwa nguvu ili nimpige na goti mgongoni nikawa nimefanikiwa maana alipiga ukunga akalegea nikawa nimejitoa.

Nilipomuuliza anadai "bora tufe wote tu, huwezi kunichezea mimi wakati nimejitoa sana kwako".........aiseeh nilimpiga kwa uchungu sana siku hiyo, maana ilikuwa nikitaka kuacha na-emagene jinsi ambavyo ningekuwa kwenye jeneza na jinsi ambavyo familia yangu ingenililia napata hasira na uchungu napiga tena. Asubuhi yake nilimpiga chini sikutaka hata maongezi.

WIVU UKIZIDI SANA ,SIO SALAMA KWENYE MAPENZI....hapo nawaza angeamua kutumia kisu sijui ingekuwaje tu.
Pole sana, afya yake ya akili haikuwa sawa.
 
Abeeee. Wanasemaga ndiyo nature yao, eti michepuko inaimarisha ndoa.

Kumwagiwa maji ya moto tena, ilikuwaje???? Afu hapo mke ndiyo unatakiwa umuuguze, na ukute nyumba ilikuwa haikaliki kisa mchepuko....
Wanajidanganya tuu.. tamaa ndizo zinazowaendesha... Si kaaga mkewe kuwa anaenda kikazi mkoani, kumbe yupo mkoa huo huo. Siku ya siku likatokea fumanizi... Na maji ya moto juu.. mchepuko mbiooooo, si kashaharibu tayari,,, nani abaki tena??.
Mie ndo mana nikisiaga ule wimbo wa zuchu unanitibua sn, sijui hata una maudhui gani.
 
Aisee sitaki hata kupata picha hilo tukio. Na waendelee kupatwa na mabalaa huko nje.

Nyimbo nyingine ni za kusifia ujinga

Back
Top Bottom