Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Anza kwanza mi nitatuma full.Nakudai
Ile ya mwanzo upo na mzee wa shit.
Tulikubaliana unatoa ule mzigo wa emoj.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nianze mara ngapi sasa?Anza kwanza mi nitatuma full.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh kwani nimebishaaaa
Nilisikia wakubwa wanapiga story tu.
Nihadithie na Mimi hizo story,,Nilisikia wakubwa wanapiga story tu.
Niwe naenda nayo faraghani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh Bwana..Niwe naenda nayo faraghani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi BINAMU wa Twitter ni wee? Wacha nivagae mwenzio kunchokoza, asinishushue nn, sema nilimtia neno 1 tyuuh akawa mpoleee, ila nilikoma kuparamia watu.Unapenda ukubwa [emoji23][emoji23] sio mbaya lakini na wewe umepata dogo wa kumuonea
Mie mzima, habari za huko, familia, mmiliki wa jimbo wote hawajambo?Salama Captain, za wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh Bwana..
Nitakukabidhi kwa wapendwa[emoji2]
Mimi kumenishinda.
Mie nilisikia tu mkuu, nikasikiliza nikaendelea na mambo yangu mkuu ni 🔞Nihadithie na Mimi hizo story,,
Inawezekana zikawa njema 🤗
Boss ledii[emoji91]
Tunaomba picha , breakfast ya Uzi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi BINAMU wa Twitter ni wee? Wacha nivagae mwenzio kunchokoza, asinishushue nn, sema nilimtia neno 1 tyuuh akawa mpoleee, ila nilikoma kuparamia watu.
Woiiiiiiii.
Wee mie mkubwa bhanaaaah.
Sawa Chief..Mie nilisikia tu mkuu, nikasikiliza nikaendelea na mambo yangu mkuu ni [emoji725]
Bado mnasahisha mitihani?Hahaha usijali badae kidogo Mdogo wangu ngoja Niwajibike kwanza!
ndiiioooo!!!Hayo magauni akuuuuh, nataka kushona Jump suit 1 ya kibabeee.
Marinda kila siku siyo mchezo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia mkuu, ukitupia tu naweka hapa picha kama 10 full juu mpaka chini, emoji naweka machoni tu.