Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Shona gauni tu kama ya Mabinti Abiudi.Afu nataka kushona jump suit, ila ya kaptula sio suruali.
Ndo natafuta tenge la maana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shona gauni tu kama ya Mabinti Abiudi.Afu nataka kushona jump suit, ila ya kaptula sio suruali.
Ndo natafuta tenge la maana.

Hayo magauni akuuuuh, nataka kushona Jump suit 1 ya kibabeee.
Kaweke tukaone, kwanza sina shida na kuangalia screen mi nataka nione ukivaa nguo huko nyuma inakaaje basi.
Inapwaya..Kaweke tukaone, kwanza sina shida na kuangalia screen mi nataka nione ukivaa nguo huko nyuma inakaaje basi.
Hayo magauni akuuuuh, nataka kushona Jump suit 1 ya kibabeee.

Picha ipi, nilikupa siku ile nimevaa suti ya kuazima mpaka nimekutag, hunidai.Nimepigwa pasi.
Kwanza nakudai picha ujue!,Usijisahaulishe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Usijisahaulishe, weka picha mkuu.
NakudaiPicha ipi, nilikupa siku ile nimevaa suti ya kuazima mpaka nimekutag, hunidai.
Yaani nipige picha katako kangu?Usijisahaulishe, weka picha mkuu.

Weusi mna maajabu yenu, adimu sana.
Ndo nasubiri Dogo langu la Faida.
Koh Koh Koh. Salamu za dhati kwa mtoto wa watuUnadhani naweza kuacha?
Hata zinyonyoke zote,,,mtoto wa mtu anazipambania..usione tu hivi nahangaika
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Salama Captain, za wewe?Habari ya uzima Heaven Sent
Ngoja uende kwa mkubwa wako kamandaYupo mkubwa mama..
Siku niliyovaa gauni jeusi nimeliweka pale juu,alipiga kimruzi cha mshangao huku akisikitika kwa kutikisa kichwa
Sijalivaa tena hadi leo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mtoto wa watu
Unajua ni yupi??Koh Koh Koh. Salamu za dhati kwa mtoto wa watu

Eeh kwani nimebishaaaa