Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii app hii yaani. Nilitaka kukukwoti pamoja na Coca lakini naona haikubali.

Mahali pazuri pa kuanzia ni kwenye channel ya huyu Mtanzania ambaye amejikita katika mambo ya scholarships pekee. Huwa anajibu maswali yote kwa ufasaha na kama ni kulipia subscription katika hiyo channel naweza kuwafanyia hivyo bro.

Kumbuka tu kila kitu ni transparent kwenye website na mara nyingi hakuna ishu za kutozana pesa kwenye application na ishu kama hizo japo nadhani kuna mitihani ya kufanya kwa graduate schools nyingi.

Link ya hiyo channel hii hapa:

Ahsanteeeee babuuuh, ngoja nizamie nkaokote madini kidogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu kwan nionee, yaan hilo trakoooo puliiiiizzzzz usitoe, watu watasema umeungua, wabongo hawakawii lol
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weeeeeehhh!! Washendweee!! Nimeambiwa na big boss nipungue ili nibebeke shos!; Sema kuna kagauni nikikavaaga nakua kama katoto sijui kwakua chini ni ka solo,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weeeeeehhh!! Washendweee!! Nimeambiwa na big boss nipungue ili nibebeke shos!; Sema kuna kagauni nikikavaaga nakua kama katoto sijui kwakua chini ni ka solo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaaa bas? Big boss ana hatareee.
 
Back
Top Bottom