Wasukuma siyo wabahili. Tena umfume ameuza ng'ombe zake au pamba mbona utafaudu. Sema tu labda pesa zao ni za msimu. Zikiisha ndo zimeisha mpaka tena msimu ujao
Kwamba Kuna miandiko inaonyesha single hahahKujua jimbo gani lipo wazi
Angalia miandiko
Kwani wewe ni KaisikiHivi wamama shangazi ndio hatupewi zawadi kwani anko??????!!!
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyangβanyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.Kahawa na naniliu
Yenye lips tamu
Yenye kiuno nyigu
Yenye guu la bia
Yenye naniliu na naniliu
Zilizo naniliu
Baridi lote linakata
muandiko wangu unasemajeKujua jimbo gani lipo wazi
Angalia miandiko
Munyamahanga Ssebbo!!Kwani wewe ni Kaisiki
Ama Ma spota
Mkazi wange
Li Babu la mchongoKwa ulaji huo utafanya nikuulize siku utakazokuja kukaa huku Kijijini ukija kunitembelea Babu yako wakati wa Likizo, huchelewi kumaliza debe zangu za unga.
BroNingekuwa bado kwenye gemu labda ningejaribu kupambana. Nishastaafu rasmi na hizo purukushani na badala yake nimejikita kwenye kutoa ushauri nasaha tu kwa mambo mbalimbali yanayowahangaisha vijana.
Hii kesi wapelekee Wige na Ely. Wameniangusha sana!
Hayo yoteAu hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyangβanyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Asante Madam
Usha fail .. jimbo lipo kwenye himaya yangu ππ acha nifaudu mieBro
Hili jambo ni jepesi sana
Relax Mkuu
Yanatosha Kwa kula.Babu yako nimepata mavuno hafifu Mwaka huu, juzi bei ya debe Moja la Mahindi kwenye gulio la Kijiji ilikuwa shilingi 12,000
Fanya mpango unitumie dawa ya kuhifadhia mahindi yasiharibiwe na wadudu.
ππ hapa hapana bora kuleBando lako sili post hapa nalituma huko ππ
kule utanifungulia ka.mlango badae nikitoka nje niziingize π€πππ hapa hapana bora kule
Hapo sawa ππkule utanifungulia ka.mlango badae nikitoka nje niziingize π€π
hapa hutopata kuna tai wanakwapua hatari.. ni kule ndio nakuwekeaHapo sawa ππ
Aisee ππhapa hutopata kuna tai wanakwapua hatari.. ni kule ndio nakuwekea
chap wavamizi wasivamieAisee ππ
Ngoja nikafungue
Nakuja nkweelaaScholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?
Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.
Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.