Taarifa za kwenye picha hazitoshi kumjua mtu. Ni baadhi ya taarifa za awali zinazoweza wasaidia pa kuanzia, kwa mfano kujua location, model ya camera, mda picha iliyochukuliwa.. zitawasaidia mahala pa kuanzia.. ila sio kwamba watajua ni nani. Ukiwa na hizo taarifa mfano location, model ya camera utajua aina ya simu, time.. kwa wenzetu ulaya maeneo mengi yana CCTV wanaweza pitia pitia humo kupata point point ... sema nipo maji ningeendelea kuandika
Mjep cocastic Christine1