Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tinsley nilizingatia ushauri wako wa kuviringa vizuri.

Ila nahisi nimekosea kwenye ngano..ilikuwa siyo nyepesi sana.
Niliweka na binzari Kwa mbaali kuongeza utamu.
IMG_20220612_172124_781.jpg
IMG_20220612_172139_592.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Shikamoo Heels
Mimi kuvaa inchi 5 sirudii nimewaachia slay queens[emoji3][emoji3][emoji3]
Tobaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole nkamu[emoji1787][emoji1787]
Mungu akuponye.

HS mwenzio akinyolewa,zako tia maji.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Tobaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole nkamu[emoji1787][emoji1787]
Mungu akuponye.

HS mwenzio akinyolewa,zako tia maji.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Nkamu nimekoma mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sirudiii kiranga kiliniisha

HS mzoefu [emoji3]
 
[emoji44][emoji44] Nanasi labambwa baharini ndani likiwa na picha ya mwanaume na mwanamke

Aliyeliona lilikuwa linasukumwa na maji kuja ufukweni likiwa limefungwafungwa na kamba na walipolifungua wakakuta ndani zipo picha za mwanaume na mwanamke ambao hawajaweza kufahamika mara moja
FB_IMG_1655051021237.jpg
 
[emoji44][emoji44] Nanasi labambwa baharini ndani likiwa na picha ya mwanaume na mwanamke

Aliyeliona lilikuwa linasukumwa na maji kuja ufukweni likiwa limefungwafungwa na kamba na walipolifungua wakakuta ndani zipo picha za mwanaume na mwanamke ambao hawajaweza kufahamika mara mojaView attachment 2258565
Aisee[emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nkamu nimekoma mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sirudiii kiranga kiliniisha

HS mzoefu [emoji3]
Viatu virefu changamoto sana.
Mimi huwa siwi huru..Najivalia zangu vifupi, nakuwa huru.

......
Nkamu ,nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipokushukuru...maendeleo ya zoezi letu la socks ni mazuri..japo kuna wiki natega sana.
 
Back
Top Bottom