Yaani kumbe uchawi upo![emoji119][emoji119][emoji119]Huo ni uchawi mbaya kabisa
Shangazi Shangazi nakusubiri mahala 😄😄😄Mjombaaaaaaaa
Looking sharp[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hadi nimeandika kiinglishi[emoji2][emoji2]
Marahabaaaaaa mjeda!!Wazima humu,nawasalimu
hahahahahahahaMarahabaaaaaa mjeda!!
Viatu virefu changamoto sana.
Mimi huwa siwi huru..Najivalia zangu vifupi, nakuwa huru.
......
Nkamu ,nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipokushukuru...maendeleo ya zoezi letu la socks ni mazuri..japo kuna wiki natega sana.View attachment 2258586View attachment 2258587
Mawazo ganiAnawaza mawazo machafu tu huyo
..za kuvukia barabaraAkili zake......
Pole aisee...
Ulikanyaga vibaya ukateguka ankle ama nini?
Hebu guu hilo la bia na lipone haraka! [emoji1545]
Nifundishe bhanaJinga sana Wige.
Ukaona na wewe uvae kisigino chembamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mimi huwa navivaa sana ila inch 5 yenye kisigino chembamba sijawahi vaa.
safi sana Nkamuu endelea matokeo yatakua bomba zaidi
Dah!Dadaake kama unaamini Mungu yupo basi tambua na uchawi upo na unafanya kazi na kuwaumiza wengi
Karibu faraghani.Nifundishe bhana
Mwee Nkamu..Asante Sn Mkuu.
Niliteleza kwenye ngazi nikabiringika mpaka chini[emoji3]
Shukrani nishaanza pona now
Hayo ya kuiwazia vibaya nyumba ya Mungu.Mawazo gani
Hayo machafu[emoji848]
Anha okay
Unanitia moyo[emoji23]Anha okay
For starters umefanya vyema
Ndo ukweli huo