Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweka hazina nipoooo hapa.
Ushajipatia Katibu hendsamu wa dimpoz na tabasamu kama loteeee!! Akikuangalia tu kule kushaloaa dadeki!?
 
Nzuri jaribu utaleta mlejesho [emoji39][emoji39] tena kama wewe unaoneka kitu kinanata gari ikipita inashika kweli kweli kwa barabara.. na ile lile jicho [emoji6][emoji6]
[emoji2296][emoji23][emoji23] em siku nitajaribu
 
[emoji1787] Ni vile yupo mbali ningekua mgeni wake kwa leo.
hapa nilipo hadi hapo ni mwendo wa masaa mawili tu hakuna foleni wala trafic.. mwendo wa 240kmh chap naingia hapo tunapiga vya alafajiri 😁😁😁
 
Mwenyekiti limemkumba Jambo mnafanya siri hamsemi, ngoja nisikilizie watafikia wapi ili niendelee walipoishia wakishindwana wanandugu
tuko wanafamily wawili tunaduaa tu hapa !! Huna hata big boys wawili wa mchongo Huko katibu?? 🤣😂
 
Back
Top Bottom