Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya cocastic anaepa na katibu namie nitafutie wa kuondoka nae saivi si unajua mrashia yuko mbaree[emoji6][emoji12] hili baridi litaniua mjumbee niangalizie angalizie huko walai!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz huwa nakumic mnoo nikiwa nje ya JF, km akili zako zinanitosha na mie vileee.
 
Mie naondoka nanani hapa shos baridi hili Jamani mpaka mrashia arudi mbona atakuta nimekauka kwa baridi [emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], rudi kwa msaidizi wake, 4 imejensi onli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji23] Na coca ebu nipasieni wa akiba nipunguze kutu mie [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji6][emoji6]!
Mwenyewe ndo napenya penya kwa huyo Mr Dimpozzzz.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1654986881275.jpg
@coca
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz huwa nakumic mnoo nikiwa nje ya JF, km akili zako zinanitosha na mie vileee.
Hahahaaa!!! Hakuna kukaribisha sitiresi shoss!! Hali ya hewa huioni lakini?? Nina kutu sio ya nchi hii 🤣😂🤣🤭🤭🤭🤭😉😉!!
 
Back
Top Bottom