Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

The real meaning of a Boss Lady [emoji91]
Ticha wa kishua [emoji8][emoji8][emoji8]

Mimi na Saint Anne hatukuwahi kukutesa [emoji23][emoji23]
Au niseme hata kifua hakihitaji ma bra ya sponge [emoji85][emoji85]
We ulikuwa pini [emoji108] nyanza zote ulikuwa unatufunika [emoji23]
Hapo pa miguu sijui alishindaga na yule Kapiece..
Umesahau bhana. Utanifanya nirudi comments za nyuma ujue. Sasa ngoja nirudi niwaoneshe mlivyonisumbuaga.

Hizo sifa sasa[emoji24]
 
Weee unao usitake nirudi kwenye post za nyuma huko ulivyokuwa unanitishia.
Mimi nilisema nisipambanishwe na Depal bora wewe naweza kukushinda. Ukaniambia "wee usijaribu "[emoji1787]
Chaaaaah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Mguu??

Utakuwa umesahau madame,,labda kiuno.


Mguu sijawahigi kuweka kipindi hicho.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom