Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
Au hujui kuimba 😂🤣🤣🤣Muoneee
Au hujui kuimba 😂🤣🤣🤣Muoneee
Hahahaa malizia na pensi/pedo juuKuna namna baba mtumishi atatamani nivae raba.
Jirani 😁😁Ili uone ki wowo changu kibaya😬😁😁
Hannah uje nkamuinasikitisha sana kama hatokuwepo 😄😄
Sauti yangu ya kiitikioAu hujui kuimba 😂🤣🤣🤣
Weka mkuuinasikitisha sana kama hatokuwepo![]()
Kwetu kuna wakubwa.Hahahaa malizia na pensi/pedo juu
Utakuwa mkubwa na wewe nyumbani kwakoKwetu kuna wakubwa.
Maisha bila ugali yafaa nini?View attachment 2257489
Mkubwa asiyeshindikana.Utakuwa mkubwa na wewe nyumbani kwako
Ntaweka Badae mkuu
Ndio nakula hapa.Leo umejitahidi ugali, uliisha kweli?
NimekupaaaaaaaaUnanipa kibari cha kutupia 😄😄
Unakula maisha tu totoz
TobaaNimekupaaaaaaaa
