Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,776
DuhSasa lunch time imekaribia naomba Tinsley Heaven Sent Hannah Depal Nuzulati Christine1 Surbi mtag location basi za lunch! Tuje tuwachape na li lunch la maana!
Maisha bila ugali yafaa nini?Hapo sawa
Tuwakilishe vema Wanyaki Mwanafyale[emoji28]
Sasa lunch time imekaribia naomba Tinsley Heaven Sent Hannah Depal Nuzulati Christine1 Surbi mtag location basi za lunch! Tuje tuwachape na li lunch la maana!
Huu mwandikoAu ndio mpaka nirudishe mahondaw mlioimzoea???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji6][emoji12]??
Nadhani ni mdogo wake.Na ww umeona wanafanana basi huyu Alayna anansumbua mimi spidernyoka jaman kila nikimuona cuzo wangu Strawbella namkumbuka Alayna
Mkongwe kazini[emoji1787]Kwenye gari kifanye nini? Hii habari yake inaanzia kwenye droo ya office na kinaachwa kwenye droo ya office hadi kesho yake tena.
Nimekuta manyoya Sijapata hata moja!! πππMakubwa
Labda na Surbi atapata
Selfika bhasHivi Wige una nini lakini, mambo yalishapita jana wewe unayafuata. Unaona sasa hadi umepitwa na selfie yangu kisa upo comments za jana[emoji23][emoji23][emoji23]
utakua team ndingo wewe!!Ebu nitag
Nikakusome
shida vinakubari password malaya ( kama waitavyo ) hapo ndio tatizo πππHa ha ha ha sasa hizo pasword zilizo common una change unaweka zako.
Mbona hujaambia hiyo watu[emoji23][emoji23][emoji23] we mbona unakunywa uji wenye limao na ndimu ya china, na sijaambia watu
rSasa lunch time imekaribia naomba Tinsley Heaven Sent Hannah Depal Nuzulati Christine1 Surbi mtag location basi za lunch! Tuje tuwachape na li lunch la maana!
shida vinakubari password malaya ( kama waitavyo ) hapo ndio tatizo πππ
Acha tu wige walichonifanya wajuba sina hamu nao!! Nairudisha Mahondaw lakini!
Ni Kweliiiii !! Hebu selfika nikuonepo eti!πSio kweli
Ni kweli