Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mitandao karibia yote wapo hivyoYeah voda wana huo udwanzi sana
Airtel pia
Mitandao karibia yote wapo hivyoYeah voda wana huo udwanzi sana
Hatimayeunasema? Ila km uko nae niambie,tusigongane pm .nataka jimbo hilo

Ha ha ha ha sasa hizo pasword zilizo common una change unaweka zako.Labda kilaza ndio haifinguikana common password kama zote.. dk sifuri nafungua kila kitu
![]()
😂😂😂😂😂Hatimaye
Umefongokaa![]()
Ah sahihiUkitaka isijifunge kama unachati hapo hapo mtu anajibu usiende back. Maana kutoa lock kila saa inatesa.
Mie yangu hapa hapana mama pasta speed yake siiwezi mimii! Pm ipo wapi baba pasta pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!😌Ndio mkae macho macho nane mkikosa hiii itakuwa sio makosa yangu 😀😀😀
Yaani hapa natesekaUkizubaa unakuta imepungua washakata vihuduma vyao ushenzi!! Jiunge mapema !

. Sasa acha hii line ya voda niweke kwenye smart nijiunge MB maana inaweza bebwa.Sijajua hata. Ila kuna huduma utakuwa umejiunga nayo, wapigie watakuelekeza jinsi ya kujiondoa wenyeweWajinga sana hivi nikitaka kugundua huduma gani nafanyeje??? Nataka nijiondoe aseee
ShangaziUkiamua unaweza mimi nimeweza na nimepungua kutoka kilo 86 mpaka 74
Nilichofanya nakula kila kitu sema kwa kiasi chapati badala ya kula mbili nakula 1,wali nakula kidogo sana ila mboga za majani nyingi matunda yakumwaga na maji mengi na upikie mafuta kidogo sana siku nitaweka kipimo cha chakula nachokula...


😂😂😂 Ngoja hizi zinipite na mbwembwe zanguMie yangu hapa hapana mama pasta speed yake siiwezi mimii! Pm ipo wapi baba pasta pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!😌
Kabisa ufanye fastaaa..kama walikuunganisha hivo vihuduma vyao na hujaweka siku nyingi weeeee wanakata kufidia yani ni wezi balaa!Yaani hapa nateseka. Sasa acha hii line ya voda niweke kwenye smart nijiunge MB maana inaweza bebwa.
😂😂😂 Ngoja hizi zinipite na mbwembwe zangu
Hapo sawaHapo nilikuwa nasuuza tu mdomo baada ya chai nzito
Nataka nipate lunch sasa.View attachment 2256177
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Niwahie🙈🙇wizooo😂😂😂 Ngoja hizi zinipite na mbwembwe zangu
😂😂😂😂😂😂Niwahie🙈🙇wizooo
Asante dear, nimejiunga hapo cha wiki.Angalia ya kwako tu kwanza *149*03#
Tuendelee kuselfika sasaAsante dear, nimejiunga hapo cha wiki.
Hauwezi kuiwahi kama hauna simu mbiliMie yangu hapa hapana mama pasta speed yake siiwezi mimii! Pm ipo wapi baba pasta pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!![]()


Kujimwambafy tu, ngoja nipitwe sasa😂😂😂😂Weeehh mtu mwenye roho wake wa mungu!🤣😉