Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msg nimezi lock hadi muda mwingine nachoka nakwambia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Baada ya ku lock msg, mtu hata achukue aende nayo wapi sina hofu.
Yani inawahi kujifunga hiyo , kila saa uingize tu password [emoji23]

Hapo unakuwa hauna wasi wasi kabisa maana sms hizi zinaweza kukumbua hivi hivi

Siwezi kukaa bila kitochi ..nimekuwa addicted navyo vibaya popote unakitoa na kuwa huru .
 
Basi mnaotumia voda niambieni basi kifurushi gani cha 5k maana hapa nateseka kila saa naangalia salio[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Naona voda washaanza kunitumia msg sijui jiunge na "Simulizi" mara "mlio" yaani vurugu tu .
 
Umeanza kumuiga aunt Lizzy mdogo wangu
Hapo nilikuwa nasuuza tu mdomo baada ya chai nzito

Nataka nipate lunch sasa.
IMG_20220610_084039_891.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Basi mnaotumia voda niambieni basi kifurushi gani cha 5k maana hapa nateseka kila saa naangalia salio[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Naona voda washaanza kunitumia msg sijui jiunge na "Simulizi" mara "mlio" yaani vurugu tu .
Angalia ya kwako tu kwanza *149*03#
 
Yani inawahi kujifunga hiyo , kila saa uingize tu password [emoji23]

Hapo unakuwa hauna wasi wasi kabisa maana sms hizi zinaweza kukumbua hivi hivi

Siwezi kukaa bila kitochi ..nimekuwa addicted navyo vibaya popote unakitoa na kuwa huru .
Ukitaka isijifunge kama unachati hapo hapo mtu anajibu usiende back. Maana kutoa lock kila saa inatesa.
 
Back
Top Bottom