Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha na mimi ni selfike, King asante. View attachment 2256123
IMG_20220610_115707_267.jpg
 
Nakwambia hadi kasimu kangu kameshtuka kupata vocha kubwa hivo.
Ukute hii simu inajua nilikuwa namtumia mtu hela mpesa nikajikuta nanunua muda wa maongezi kimakosa[emoji1787]
vi simu vya matukio hivyo, ukiwa unarudi home unatupia kwenye toolbox nyumabya gari na haviruhusiwi kutoa mlio wala vibration😀😀😀😀
 
Navyopendaga hizi mada, hadi mwili unanisisimka hapa[emoji23][emoji23][emoji23].

Mtu usiache Ile asili yako ya ubinadamu at the expense of furaha ya mtu mwingine . Mtu kakushushia kitu kizito, hiyo hamu inatoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuja tu

Unabebembelezwa

Unaapiwa

Halafu unaambiwa

Alikuwa shetani huku unapapaswa

Lazima ulowe

Hisia zisirudi kwanini[emoji848][emoji2089][emoji1787]
 
Back
Top Bottom