Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hello bosiledi, glad to hear from you.

Ni Jana tu tulikuwa tunadiscuss; yaani sasa hivi kama huna mpango wa kubadili ID yako permanently, usibadili tu. Unaweza ukasema ngoja nibadili kwa mwezi huu, then next month ntairudia ID yangu; ukirudi unakuta imeshanyakuliwa. Nimesoma hapo kwamba mahondaw new kabadili tena; kama unaihitaji ID yako ya zamani, irudie mapema then tulia nayo, au kama utastick tu na Antonnia; well and good.
Otherwise pole na hongera kwa majukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mama mchungaji naona tu niendelee na hii Antonnia taratibu mtaizoea!
Ubarikiwe sana mpendwa majukumu nashukuru yanaenda vema!
 
Back
Top Bottom