Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah ngumu sana tuache wanaoweza kwa kweli
Mimi ni foodie siwezi kufanya diet kabisa

Wanga haukwepeki kabisa kwa maisha haya ya kitanzania ..maana lazima uangukie huko .

Ukiamua unaweza mimi nimeweza na nimepungua kutoka kilo 86 mpaka 74

Nilichofanya nakula kila kitu sema kwa kiasi chapati badala ya kula mbili nakula 1,wali nakula kidogo sana ila mboga za majani nyingi matunda yakumwaga na maji mengi na upikie mafuta kidogo sana siku nitaweka kipimo cha chakula nachokula...
 
Ooh hongera sana
Kupunguza kilo hizo

Ah sasa hivi nanenepa kwa vingi nakula sana karanga iwe kwa mboga au peanut kwa mkate .
Chipsi nazo mara chache huwa naonja
Sihangaiki sana
 
Back
Top Bottom