Dah.......
Yanii hii user name bado inanichanganya boss lady nikiona notification naona kama ingizo jipya hivi🤣🤣🤣🤣
Ahsante kwa salam madam
Leo utajiselfisha nisitoke?
Ugali wa muhogo ni mweupe kidogo. Huu ni wa mahindi umechanganywa kidogo na mtama au ulezi. Ni ugali mzito huu na ukiula unausikia kabisa kuwa umekula kitu kizito. Baada ya hapo ni ama uende shamba ukalime na kama ni usiku basi...